Search

1125 results for Olipa Assa :

  1. Mastaa hawa Simba ni mvua na jua

    KUNA mastaa wapo Simba wameonja raha na karaha, wakati timu hiyo inachukua mataji manne mfululizo, walikuwepo na ilipokosa mataji kwa mara mbili mfululizo (2021/22 na 2022/23) bado...

  2. Balama: Kama si Yanga ningeacha soka

    CHANGAMOTO katika maisha ni vitu vya kawaida, lakini kuna nyingine huwa zinakatisha tamaa na kama mtu ana roho ndogo ni ngumu kutoboa. Hutokea bahati tu, mtu akizungukwa na watu wenye kujali na...

  3. PRIME Mgunda azungumzia ishu ya kumrithi Benchikha

    Simba inatarajiwa kutangaza kuachana rasmi na kocha Mbelgiji mwenye asili ya Algeria, Abdelhak Benchikha, ambaye taarifa zisizo rasmi zinadai ameomba kuondoka ili kwenda kumuuguza mkewe.

  4. Stori ya Bocco itaisha kishikaji Simba?

    HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua ukimya wake unasababishwa...

  5. Huku Fei Toto, kule Chama Kombe la Muungano

    KUTOKANA na ubora wa viungo waliopo Azam FC na Simba, huenda mechi ya fainali ya Kombe la Muungano ikaamuliwa na wachezaji wa nafasi hizo, wakati timu hizo zitakapokutana Jumamosi hii kuanzia saa...

  6. Siku 125 Baleke alipotupia kitu cha nane

    LEO Aprili 26, 2024 ni siku 125 tangu aliyekuwa straika wa Simba, Jean Baleke alipofunga bao lake la nane, Desemba 23, 2023 dhidi ya KMC na hakuna mshambuliaji wa timu hiyo aliyefikia mabao...

  7. Fei asaka rekodi za Bocco, Kipre Tcheche

    Ukiachana na Fei kukabiliana na mtihani wa Bocco na Kipre, pia ni muda mrefu Azam FC haijatoa kinara wa mabao katika Ligi Kuu tangu walivyofanya Bocco na Kipre.

  8. Kutoka ukondakta hadi kucheza Yanga, JKT Tanzania

    HISTORIA ya maisha ya mshambuliaji wa JKT Tanzania, Matheo Antony itakufunza kutoyakatia tamaa maisha, kwani wakati anasajiliwa Yanga msimu wa 2015/16 alikuwa anapiga mishe za ukonda wa daladala.

  9. Mfahamu Kingwendu nje na uchekeshaji

    MCHEKESHAJI mkongwe nchini, Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' anaamini maisha bila 'plani B' ni vigumu kufanikiwa kwa haraka, vinginevyo mtu afanye kazi inayomuingizia pesa ndefu. Mwanaspoti...

  10. Mabeki wanaompa changamoto Fei Toto

    KIUNGO wa Azam FC, Feisal Sulum 'Fei Toto' amewataja mabeki wanaompa changamoto awapo uwanjani na kumfanya atumie akili nyingi kupenya katikati yao, akisema wawili wanatoka Yanga na mmoja...

Page 1 of 113

Next